0
Ng'ombe wakidhagaa maeneo ya Soko la Liwale mchana.
Ng'ombe wakitangatanga maeneo ya sokoni Liwale mjini
                                       
                                      
Kudhurula kwa mifugo kama mbuzi na ng'ombe katika maeneo ya soko na stendi Liwale mjini ni kawaida,mifugo huu hudhurala maeneo hayo nyakati za asubuhi,mchana na jioni kila siku.
Kero hii ni ya muda mrefu mara nyingi taarifa hii imewahi kupostiwa kwenye mitandao ya kijamii lakini hatua za kudhibitiwa  bado hazikuzaa matunda mpaka leo.

Post a Comment

 
Top