0
Gari la wagonjwa kuwashwa mpaka kusukumwa
wachukua muda mpaka kuja kuwaka
waamuamua kutoka nje ya geti ili kulisukuma zaidi
                                                 
                                                 hali halisi ilikuwa zaidi ya hapa hadi kuwaka.
Gari namba SM 4997 la kuwahudumia wagonjwa kuwaka kwake mpaka kusumwa  katika Hospitali ya Wilaya ya Liwale kamera yetu ilishudia tukio hili siku ya jumatatu ya tarehe 29/12/2014 huku gari hilo likitaka kufanya safari yake kuelekea katika kijiji cha Mbaya kata ya mbaya ambako umbali wake ni kilometa 20.

Post a Comment

 
Top