0

 
CUF jino kwa jino na CCM Liwale mkoani Lindi yavuna vitongoji 161 kati ya 351 na ccm 181 kati ya vitongoji 351 pia cuf wajishindia vijiji 37 kati vijiji 76 na ccm wajizolea vijiji 39 chama cha cuf wajigamba DC,DED wanaongozwa na wenyeviti wa vijiji na vitogoji wa cuf pia wajigamba Halmashauri mwaka 2015 kuongozwa na cuf, diwani wa kata ya Likongowele iliyopo Liwale mjini mheshimiwa Musa Mkoyage amejidhihirishia kama CUF kiboko kwani kwenye kata yake ilikuwa ngombe ya ccm sasa kijiji chake anachokaa  mwenyekiti wa kijiji wa cuf na wenda hata weza kutetea tena kiti chake cha udiwani mwaka 2015 baada ya cuf kwenye kata hiyo kujishindia ushindi wa wenyeviti wa kijiji na vitongoji kwa kishindo.Mkutano huu ulifanyika majuzi kwenye viwanja vya Nanjinji kata ya Likongowele.

 katika sherehe hizo mwenyekiti wa wilaya wa chama cha cuf bwana mdohoma alitoa agizo alisema "suala la ucheleweshaji wa ugawaji wa viwanja amewakata mamlaka husika kuwa wananchi  wote waliochangia viwanja hivi mwaka uliopita kwa bei ya zamani ambao wamekamilisha michango na taratibu zote wapewe viwanja vyao kama bei imepannda baada ya kuchanngishwa itakuwa baada ya awamu hii kupewa pia aliongeza kusema ametoa muda wa mwezi mmoja mpaka mwezi wa kwanza mwaka 2015 iwe zoezi hili limekamilika richa ya hapo watawaleta mawakili wanne kuja kulishughulikia na kusimamia suala hilo" alisema

Post a Comment

 
Top