Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani kilimanjaro Bwana Novatus Makunga amesema wakazi 90,000 wa wilaya hiyo wameridhia
Kuchangia shilingi elfu kumi na tano kila mmoja ili ziweze kusaidia
ujenzi wa maabara katika shule zote za sekondari pamoja na shule mbili
maalum za kisasa za sekondari.
Post a Comment