Mabao ya United yamefungwa na Chris Smalling dakika ya 16, Wayne Rooney dakika ya 42 na Robin van Persie dakika ya 66.
United
ilipata pigo baada ya winga wake, Angel di Maria kutolewa nje dakika ya
14 baada ya kuumia, nafasi yake ikichukuliwa na Ander Herrera.
Katika
mechi nyingine, Liverpool imeilaza 1-0 Stoke City bao pekee la Glen
Johnson, West Ham imeifunga 1-0 Newcastle bao la Aaron Cresswell, wakati
Swansea imetoka 1-1 na Crystal Palace na QPR imeilaza 3-2 Leicester,
Burnley ikitoka 1-1 na Aston Villa.
Mchezo uliotangulia jioni ya leo, Arsenal imeichapa 1-0 West Brom bao pekee la Danny Welbeck.
Van Persie wa United akipongezwa na mchezaji mwenake, Rooney baada ya kufunga bao la tatu Uwanja wa Old Trafford
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2854001/Manchester-United-3-0-Hull-City-Robin-van-Persie-goals-Old-Trafford-Louis-van-Gaal-secures-easy-win-Tigers.html#ixzz3KTjD7h8f
Post a Comment