Mwenyekiti
na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Group of
Industries), Alhaji Aliko Dangote (kulia) mfanyabiashara maarufu kutoka
Nigeria, akiteremka kwenye ndege alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa
Mtwara, kwenda kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha saruji
kinachojengwa mkoani humo.,
Dangote akilakiwa na Mwakilishi Mkazi wa kampuni hiyo nchini, Esther Baruti (kushoto)
Dangote akisalimiana na Balozi Mdogo wa Nigeria nchini, Adamu Mussa
Dangote
akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa kampuni ya Dangote nchini, Esther
Baruti na Balozi Mdogo wa Nigeria nchini, Adamu Mussa
Mwenyekiti
na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Group of
Industries), Alhaji Aliko Dangote (kulia) mfanyabiashara maarufu kutoka
Nigeria, akilakiwa na Mwakilishi Mkazi wa kampuni hiyo nchini, Esther
Baruti (katikati) pamoja na Balozi Mdogo wa Nigeria nchini, Adamu Mussa
alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda hicho, mkoani
Mtwara
Dangote
akisalimiana na wafanyakazi wa kampuni inayojenga kiwanda hicho ya Dil
& Sinoma, baada ya kuwasili eneo la ujenzi wa kiwanda.
Mwenyekiti
na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Group of
Industries), Alhaji Aliko Dangote akiwa kwenye gari huku akipata maelezo
ya ujenzi wa kiwanda hicho kutoka kwa mafundi na wahandisi wa kampuni
ya Dil & Sinoma inayojenga kiwanda hicho kitakachokuwa cha tatu kwa
ukubwa Afrika.
Msafara
wa Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote
Groupof Industries), Alhaji Aliko Dangote, ukikagua ujenzi wa kiwanda
hicho kinachotarajiwakuanza kazi Aprili, mwakani. Awamu ya kwanza ya
kiwanda hicho ujenzi wake ukikamilika kitakuwa kinazalisha tani 6000 kwa
siku.
Mwenyekiti
na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Group of
Industries), Alhaji Aliko Dangote (kulia) mfanyabiashara maarufu kutoka
Nigeria, akizungumza na Meneja Mkuu wa Kiwanda kikubwa cha cha saruji
cha Dangote Tanzania, Daljit Singh (katikati), alipotembelea na kukagua
maendeleo ya ujenzi wa kiwanda hicho,mkoani Mtwara. Kushoto ni Kenneth
Kasigila ambaye ni Msaidizi Maalumu wa Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB,
iliyopewa fursa ya kwanza kujenga benki karibu na kiwanda hicho.PICHA
ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mkuu
wa Wilaya ya Tandahimba, ambaye ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara,
Ponsiano Nyami (kushoto), akizungumza na Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji
Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Group of Industries), Alhaji Aliko
Dangote, muda mfupi kabla ya mfanyabiashara huyo kuondoka Uwanja wa
Ndege wa Mtwara jana, baada ya kukagua ujenzi wa kiwanda chake.
Mwenyekiti
na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Group of
Industries), Alhaji Aliko Dangote, akiaga alipokuwa akiondoka na ndege
yake kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara jana. Alitumia takribani saa mbili
kuwepo nchini, baada ya kuwasili asubuhi saa 1:42 na kuondoka saa 3:42
baada ya kupata maelezo ya ujenzi na kukagua kiwanda chake.
Ndege ikiwa imepaa
Post a Comment