SITTI ABBAS MTEMVU AJIVUA TAJI LA MISS TANZANIA 2014, NI BAADA YA ISHU YA KUDANGANYA UMRI KUMTOKEA PUANI. 0 09:47:00 A+ A- Print Email Ni ujumbe unaodhaniwa kuandikwa na Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu akieleza namna anavyokerwa na tuhuma za kudanganya umri na kutoa uamuzi wa kujivua taji hilo.
Post a Comment