0

Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa atarejea uwanjani siku ya Jumamosi katika mchezo dhidi ya QPR, amesema meneja Jose Mourinho. Mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Spain, ambaye amepachika mabao tisa katika mechi saba za Ligi Kuu, amekosa mechi nne kutokana na jeraha la msuli na homa.
Kukosekana kwake pamoja na Loic Remy, kulifanya Didier Drogba kuwa mshambuliaji pekee wa kutumainiwa.

Post a Comment

 
Top