Kituo
kimoja cha televisheni nchini Marekani kinachorusha kila siku kipindi
cha mhubiri Pat Robertson kiliomba radhi Jumatatu kwa madai yake potofu
kwamba wasafiri wanaokwenda Kenya wanaweza kupata maambukizi ya Ukimwi
kwa njia ya taulo.
kimesema kituo cha Utangazaji cha Kikristo, CBN, katika mtandao wa Facebook.
Mhubiri
huyo mwenye umri wa miaka 84, mwinjilisti mkongwe ameonya katika
kipindi chake cha "700 Club" cha Oktoba 16 kwamba wasafiri watalazimika
kuchukua tahadhari ya hali ya juu ya kiafya wawapo nchini Kenya.
Bwana Robertson aliwaambia watazamaji wake wanaokadiriwa kufikia milioni moja. Watu wana ukimwi.
Madai ya Bwana Robertson haraka yalishambuliwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya ugonjwa wa Ukimwi.
Wamesema kuwa Ofisi ya serikali ya Marekani ya Masuala ya Afya ya kina Mama inasema virusi vya Ukimwi haviwezi kuambukiza kwa njia ya
Wamesema kuwa Ofisi ya serikali ya Marekani ya Masuala ya Afya ya kina Mama inasema virusi vya Ukimwi haviwezi kuambukiza kwa njia ya
Matamshi
ya Bwana Robertson yamekuja kutokana na swali alilotumiwa kwa njia ya
barua pepe na mtu asiyejulikana ambaye alielezea wasiwasi juu ya madhara
ya kutembelea Kenya wakati wa mlipuko wa Ebola barani Afrika.
Alimhakikishia mtazamaji wa kipindi chake kuwa hakuna mgonjwa wa Ebola nchini Kenya akisema Kenya iko mbali na kitovu cha mlipuko wa Ebola, Afrika Magharibi.
Lakini Bwana Robertson alieleza hatari ya kuambukizwa magonjwa mengine nchini Kenya pamoja na Ukimwi.
Mbu wanaweza kusababisha madhara makubwa ya ugonjwa, amesema, akiongezea kwamba

Post a Comment