0
                                                     (Enzi ya uhai wake zalali lunje)
                                                                R.I.P


Kwa mujibu wa habari nilizopata zinasema kwamba marehemu alifariki dunia mara ya kuchomwa kisu ubavuniakiwa kwenye majukumu yake ya u gate keeper maarufu kama Baunsa katika show iliyofanywa  na msanii SAM WA UKWELI katika ukumbi wa Sanabu Club uliopo hapa liwale,mjini tukio hilo lilifanywa jana majira ya saa 5 usiku na Issa Mfaume mpaka sasa mtuhumiwa kakimbia na jeshi la polisi linasaka kwa uvumba na ubani ili kuhakisha anafikishwa katika vyombo vya dola.
 
Vijana wa hapa liwale mjini hasa wale wanaotumia mitandao ya kijamii wamesikitishwa kwa kutokea kwa tukio hili la kumpoteza kijana mwezao ambao alikuwa kipenzi cha vijana wengi.

Post a Comment

 
Top