0
                                                  (Enzi ya uhai wake ndugu ZALALI LUNJE)
                                                        R.I.P
Hali isiyo ya kawaida usiku wa jana  bwana Zalali Lunje mkazi wa Liwale mjini amechomwa kisu hadi kufa na bwana Issa Mfaume katika ukumbi wa SANABU CLUB majira ya saa 5 usiku.

Taarifa zina sema chanzo cha tukio hilo marehemu alikuwa mlangano (getini) akihakikisha watu wanaotaka kuingia ukumbini wanatoa kiingilio ndipo bwana Issa Mfaume alitaka kuingia ndani ya ukumbi bila kulipa pesa ndipo walipoanza kuvutana na kuamua Issa kuchomoa kisu na kumchoma mwezake na kumsababishia kupoteza uhai.
 
Mpaka sasa mtuhumiwa wa kitendo hicho ajakamatwa huku vyombo vya dola vikimtafuta.

MAREHEMU ATAZIKWA SAA 10 JIONI NYUMBANI KWAO MTAA WA LIKONGOWE LIWALE MJINI.

Post a Comment

 
Top