
UTANGULIZI
Pamoja na hotuba hii, nimewasilisha
vitabu vinne vinavyoelezea kwa kina takwimu za Bajeti. Kitabu
cha Kwanza ni makisio ya mapato; Kitabu chaPili ni makisio ya matumizi
ya kawaida kwa wizara, idara za Serikali zinazojitegemea, wakala na
taasisi za Serikali;
Kitabu cha Tatu ni makisio ya matumizi
ya kawaida kwa mikoa na mamlaka za serikali za mitaa; na Kitabu cha Nne
ni makadirio ya matumizi ya maendeleo kwa wizara, idara za Serikali
zinazojitegemea, wakala na taasisi za Serikali, mikoa na mamlaka za
serikali za mitaa.
Aidha, upo Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2014 ambao ni sehemu ya bajeti hii.
AU
Ingia hapo juu kuisoma au download hotuba hiyo
Post a Comment