0


1Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akiingia kwenye uwanja wa Uhuru kuwaongoza watanzania katika maadhinimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania yanayofanyika kila mwaka Aprili 26 kusherehekea muungano wa Tanganyika na Zanzibar  yaliyoasisiwa na Baba wa Taifa Mwalimu J.K.Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume Aprili 26 mwaka 1964, Watanzania wengi wamejitokeza katika maadhimisho hayo wakiwemo marais wa nchi mbalimbali za Afrika, Viongozi mbalimbali na wawakilishi wa nchi  katika mataifa mbalimbali ya Afrika, Nchi za kiarabuni, Asia  na  Ulaya, Fullshangwe ilikuwepo kwenye   eneo la tukio na kukuletea moja kwa moja matukio mbalimbali yaliyojitokeza katika maadhimisho hayo ambayo yamefana kwa kiwango kikubwa.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-UWANJA WA UHURU)2Rais Jakaya Kikwete akiingia kwenye uwanja wa Uhuru.
3Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama4Akiendekea kukagua vikosi5Viksoi vya ulinzi na usalama vikiwa katika gwaride maalum7Rais Jakaya Kikwete akirejea jukwaa kuu mara baada ya kukagua gwaride.8Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais Yoweri Mseveni wa Uganda katikati nI King Mswati wa Swaziland na kushoto ni Rais Piere Nkurunzinza wa Burundi.9Rais Jakaya KIkwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyata wa Kenya katikati ni Rais Piere Nkurunzinza wa Burundi na kushoto ni Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda.10Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Rais Uhuru Kenyata mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Uhuru.11Viongozi mbalimbali wakiwa wamesimama jukwaa kuu wakati wimbo wa taifa ukipigwa.14Marais mbalimbali wakiwa wamekaa jukwaani15Rais Piere Nkurunzinza akisalimiana na Rais mstaafu wa Zambia Mh. Rupia Banda wakati wa maadhimisho hayo, katikati ni Rais Mstaafu wa Namibia Dr. Sam Nujoma.16Rais Piere Nkurunzinza akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Mizengo Pinda kushoto ni Rais mstaafu wa Zambia Mh. Rupia Banda.17Rais Piere Nkurunzinza akisalimiana na Rais wa Kenya Mh. Uhuru Kenyata mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Uhuru.18Rais wa Uganda Mh. Yoeri Museveni akisalimiana na Rais mstaafu wa Namibia Dr. Sam Nujoma19Rais wa Malawi Mh. Mama Joyce Banda akiwasili kwenye uwanja wa Uhuru kuhudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania.20Mpiganaji  Nicholas Mbaga wa TBC akiwa Live kuripoti matukio mbalimbali ya maadhimisho hayo.
3Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kutoa heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.4Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kuonyesha uwezo wake katika mapambano ya Karatee na  mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.5Makomandoo hawa wakionyesha uwezo mkubwa wa mapambano na adui.6Sasa ni zana za kivita7Hiki ni Kifaru9Kifaru cha kivita kikipita mbele ya wanahabari na wananchi waliohudhuria katika maadhimisho hayo.10Wananchi wakishuhudia vifaru vikipita wakati wa maadhimisho hayo.11Makombora mazito ya kivita yakipita 13Makombora ya kutungulia ndege za adui nayo yakionyeshwa kwa wananchi.14Askari wa miamvuli ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wakishuka kwenye uwanja wa Uhuru baada ya  kuruka kwenye ndege umbali wa mita zaidi ya elfu 4000 angani.15Askari wa miamvuli ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wakishuka kwenye uwanja wa Uhuru baada ya  kuruka kwenye ndege umbali wa mita zaidi ya elfu 4000 angani.16Wakienda kutoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Jakaya Kikwete.17Rais Jakaya Kikwete akiwapongeza askari hao wa miamvuli mara baada ya kutua kwenye uwanja wa Uhuru.18Vijana wa pikipiki wakipita mbele ya Rais Jakaya kikwete19Vjana wa halaiki wakionyesha maumbo mbalimbali yenye kuuuelezea muungano wetu wa Tanzania20Ni maumbo mbalimbali yaliyoonyeshwa na watoto wa halaiki wakati wa maadhimisho hayo.

Post a Comment

 
Top