Wamiliki wa daladala kupitia madereva
wao leo wanatarajia kufanya mgomo wa kusitiza utoaji wa huduma wa
kusafirisha abiria kushinikiza serikali kupitia askari wa jeshi la
polisi kikosi cha usalama barabarani kwa madai kupigwa faini ya makosa
mbalimbali.
Kupitia kwa Mwenyekiti wa madereva wa
Daladala Manispaa ya Morogoro Mungi alieleza kwa ufupi kuwa mgomo huo ni
kushinikiza serikali kukaa meza moja na kuweza kuangalia namna ya
kupunguza ukubwa wa faini ambapo wanadaiwa kulipa kiasi cha sh30,000
hadi sh 120,000 kutokana na kosa moja hutozwa sh30,000.mtanda blog
Post a Comment