
Leo
hi BUSTANI YA HABARI ilibahatika kukutana na tukio la ugawaji kadi
katika kijiwe kikongwe cha siasa mkoani Morogoro kinachofahamika kwa
jina la TAHARIRI SQUARE.Watu kadhaa wamejiunga na chama hicho baada ya
kupigwa darasa la nguzo za chama hicho ambazo zimeandikwa nyuma ya kadi.



Wanachama wa CCM waligoma
kabisa kujiunga na chama hicho hata baada ya ushawishi wa hali ya juu
uliokuwa ukiwasilishwa na bwana Ally Amiri,Jashia Hamisi na Omari Kombo.
Kijiwe cha TAHARIRI SQUARE
kina wanachama wa vyama mbali mbali na pia hupata bahati ya kutembelewa
na viongozi mbali mbali wa kisiasa

mbunge wa Tandaimba Juma Njayo alipotembelea kijiwe cha TAHARIRI SQUARE

Post a Comment