Mfungaji
wa mabao mawili ya timu ya Yanga dhidi ya JKT Ruvu katika mchezo wa
Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, Mrisho Ngasa akishangilia bao lake la
kwanza katika mchezo uliofanyika leo kwenye Uwanjawa Taifa jijini Dar es
Salaam. Katika mchezo huo Yanga imeshinda mabao 4-0, mabao mawili
yakifungwa na Mrisho Ngasa, katika dakika za 4 na 23 kipindi cha kwanza,
bao la tatu limefungwa na Oscra Joshuo, katika dakika ya 50 na bao la
nne limefungwa na Jerry Tegete katika dakika ya 86. Picha na Francis
Dande
Mshambulijia wa Yanga, Hamis Kiiza akiwa katika harakati za kufunga.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia.
Mashabiki wa Yanga wakishangilia timu yao.
Post a Comment