0
Image may contain: 1 person, outdoor

katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Yanga wameibuka na ushindi wa mabao 3-1, yaliyofungwa na Yusuph Mhilu, Ibrahim Ajib na Obrey Chirwa. 

Kwa ushindi huo sasa Yanga wanafikisha jumla ya Pointi 46 sawa na watani zao Simba wenye mchezo mmoja mkononi kabla ya kukutana katika mchezo wa Ligi baada ya wote kurejea katika michezo yao ya Kimataifa.
Mchezo wa Yanga na Simba unatarajia kupigwa Aprili 6 

Post a Comment

 
Top