0


Timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes imewasili visiwani Zanzibar leo Jumatatu ya December 18 2017 ikitokea Kenya ilipokuwa inashiriki michuano ya Kombe la CECAFA Senior Challenge Cup 2017, Zanzibar imewasili ikiwa ni siku moja imepita toka ipoteze mchezo wa fainali ya michuano hiyo kwa penati 3-2.

Post a Comment

 
Top