Taarifa zilizotufikia mudahuu ni kwamba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Nehemia Mchechu ili kupisha uchunguzi.
Taarifa hii imetolewa kupitia ukurasa wa twitter wa Msemaji Mkuu wa serikali Dr Hassa Abbas lakini sababu ya kusimamishwa kazi Bwana Mchechu bado haijawekwa wazi na kwa mujibu wa Dr Abbas taarifa zaidi kuhusu suala hili zitatolewa hivi karibuni.
Post a Comment