0
Arsenal imecheza mechi tano bila kufungwa katika uwanja wa EmiratesHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionArsenal imecheza mechi tano bila kufungwa katika uwanja wa Emirates
Mshambuliaji wa Arsenal Alexandre Lacazette anauguza jeraha la kinena alilopata katika mechi ya siku ya Jumatano dhidi ya Huddersfield.
Alexis Sanchez anatarajiwa kushiriki katika mechi hiyo licha ya kutolewa katikati ya mechi siku ya Jumatano akilalamikia jeraha la nyuma ya goti.
Kiungo wa kati wa Manchester United Nemanja Matic huenda akakosa kucheza baada ya kulazimishwa kutoka kufuatia jeraha la misuli wakati wa mechi dhidi ya Watford.
Marouane Fellaini hatoshiriki kufuatia jereha la goti ambalo limekuwa mara kwa mara huku Eric Bailly, Phil Jones na Michael Carrick wote wakisalia nje.

Post a Comment

 
Top