Leo ikiwa novemba 27 ligi kuu Tanzania Bara (VPL) imekamilisha raundi ya 11 kwa mchezo baina ya Azam FC na Mtibwa Sugar ambapo timu hizo zimetoshana nguvu kwa kufungana goli 1-1.
Msimamo wa Ligi, baada ya mechi zote za raundi ya 11, msimamo wa ligi unaonesha Simba ikiwa bado kileleni, huku Stand United wakiwa mkiani.
Post a Comment