Mahakama Kuu nchini Kenya yaondoa kwa muda marufuku ya maandamano ya upinzani (NASA) iliyokuwa yametolewa na Kaimu Waziri wa Usalama.
Mahakama imesema maandamano yanalindwa kikatiba katika ibara ya 37 inayowapa wananchi Uhuru wa kufanya maandamano ya amani.
Post a Comment