Mkuu wa mkoa wa TANGA MARTIN SHEGERA
MKUU wa mkoa wa Tanga Martin Shegera Amewataka waandishi wa habari nchini kufanya kazi kwa weledi na kujiendeleze kielimu ili kukabilina na changamoto za kiutendaji na sheria za mpya ya vyombo vya habari nchini.
Nae Makamu mwenyekiti Jenny Mihanji aliomba watendaji wa serikali kutoa ushirikano ili waandishi wa habari waweze kufanya kazi zao kwa uhuru na Amani
Waandishi wa Habari wakiwa kwenye mkutano mkuu wa mwaka UTPC TANGA HOTEL
MKUU wa mkoa wa Tanga Martin Shegera Amewataka waandishi wa habari nchini kufanya kazi kwa weledi na kujiendeleze kielimu ili kukabilina na changamoto za kiutendaji na sheria za mpya ya vyombo vya habari nchini.
Shegera alisema hayo kwenye ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa umoja wa klabu za uandishi (UTPC) uliofanyika kwenye ukumbi wa Tanga Beach.
Alisema serikali inatambua mchango na umuhimu wa vyombo vya Habari nchini, ya kuelimisha, kusukuma maendeleo , na kufichua maovu hivyo ni wajibu wao kutambua dhamani yao na kufanya kazi kwa kuzingatia weledi.
Waandishi wa Habari wakiwa kwenye mkutano mkuu wa mwaka UTPC TANGA HOTEL
Post a Comment