Mwenyekiti wa chama cha ushirika cha msingi umoja (Umoja Amcos) akiongoza mkutano maalum wa chama hicho leo septemba 2 ikiwa na lengo la kufanya marekebisho ya mashariti cha chama
Wanachama wa chama cha ushirika cha msingi Umoja (Umoja Amcos) akifuatilia mkutano maalum kwa umakini
Wanachama wa chama cha ushirika cha msingi Umoja (Umoja Amcos) akifuatilia mkutano maalum kwa umakini
Mtunza kumbukumbu wa chama chama cha umoja,Jamali Mbinga akisoma mashariki ya chama hicho kipengele kwa kipengele na kutoa nafasi kwa wachama kuweza kuchangia na kuboresha mashariti hayo.
Wanachama wa chama cha ushirika cha msingi Umoja (Umoja Amcos) akifuatilia mkutano maalum kwa umakini
Ni mmoja wa mwanachama wa chama cha umoja akichangia mjadala kwenye mkutano maalum uliofanyika leo septemba 2 maeneo ya ofisi hiyo ya umoja.
Chama cha ushirika cha msingi Umoja (Umoja Amcos) kilichopo wilaya ya Liwale mkoani Lindi chafanya mkutano maalum leo septemba 2 wa utatekelezaji wa agizo la kuvitaka vyama vya ushirika kufanya mabadiliko ya sheria ya mwaka 2013 na kanuni ya mwaka 2015.
Katika mkutano hupo ukiongozwa na mwenyekiti wa chama hicho na Hassani Mpako amewataka wanachama cha Umoja kupitia mabadiliko ya mashariti ya chama hicho kwa kila kipengele na kwa umakini wa hali ya juu ili kuweza kuwa na tija kwa wanachama.
Post a Comment