WALALAMIKIA BANK YA DAMU
SAUTI YA KUSINI,BLOG
BAADHI ya wananchi wamelalamikia mfumo wa malipo ya damu wanazochangiwa wa wagonjwa wenye uhitaji wa damu wanaotibiwa katika hospitali ya wilaya ya Nachingwea mkoa wa Lindi.
Wakizungumza timu ya waandishi kwa nyakati na maeneo tofauti wiki hii katika mamlaka ya mji mdogo wa Nachingwea, walisema kiasi cha malipo ya damu kinachotolewa na jamaa za wagonjwa nikikubwa kuliko kiasi wanachopewa wagonjwa kutoka kwenye benki ya damu ya hosipitali hiyo.
Mwajuma Ismaili aliyejitambulisa kuwa nimkazi wa Tunduru ya Leo, mamlaka ya mji alisema alishangazwa na kitendo cha kutakiwa kufidia uniti(chupa) tatu badala ya moja aliyowekewa mke wa mwanawe ambae ilitakuwa aongezwe uniti moja.Wakizungumza na Muungwana kwa nyakati na maeneo tofauti wiki hii katika mamlaka ya mji mdogo wa Nachingwea, walisema kiasi cha malipo ya damu kinachotolewa na jamaa za wagonjwa nikikubwa kuliko kiasi wanachopewa wagonjwa kutoka kwenye benki ya damu ya hosipitali hiyo.

Dkt Pazia ambae pia ni mganga mfawidhi wa hosipitali hiyo, alibainisha kwamba damu inayotolewa na wachangiaji hupelekwa Mtwara kwaajili ya kupimwa. Ambapo damu inayobainika kuwa hafai inamwagwa(teketezwa). .
Alisema Mwanzoni walikuwa wanatoa sawa na kiasi alichowekewa mgonjwa, hata hivyo damu nyingi baada ya kupimwa zilibainika kuwa ni mbovu. Hivyo kusababisha upungufu kwenye benki ya damu, ambazo zinafidia walizopewa wagonjwa.
Post a Comment