0







Mapema leo August 9, 2017 kulikuwa na taarifa zilizosambaa mitandaoni zilizoeleza kuhusu tukio la Mke wa Mwenyekiti wa Mtaa wa Mabatini, Mwanza kupigwa risasi na Polisi.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mabatini, Mwanza Ntobi Boniphace ambaye mke wake alijeruhiwa kwa risasi usiku wa uliopita ameelezea tukio hilo akisema gari lililokua likiendeshwa na dereva mwanafunzi liligonga nyumba yao ambapo dereva huyo alikimbia.
Aidha, baada ya kuwasiliana na Polisi kuomba msaada walifika katika eneo la tukio wakiwa wamelewa na kuanza kufanya kuvuru huku wakimpiga ambapo mwanamke kuwalazimisha watoe bunduki waliyoificha kabla ya kumpiga risasi mama huyo.
Kwenye video hapa chini kuna kila kitu na unaweza kutazama kwa kuplay!!!

Post a Comment

 
Top