0
Image result for ROBO FAINALI

Baada ya mchezo wa hatua ya mzunguko kukamilika ligi ya Kazumari cup inayopigwa wilayani Liwale, jana augosti 16 kati ya Mbaya fc dhidi ya Wachukuzi fc na mchezo huo uliamua kati ya timu hizo moja kuingia katika hatua ya robo fainali.

Matokeo ya mchezo huo timu ya Wachukuzi fc iliweza kuibuka na ushindi wa magoli 3 kwa 1 na kufanyikiwa timu ya Wachukuzi fc kutinga hatua ya robo fainali.

kwenye hatua ya mzunguko katika ligi hii kulikuwa na jumla ya timu 11 zikuwa kwenye makundi 2 kundi moja likiundwa na timu 5 na jingine likiwa na timu 6.

Timu 8 zilizotinga katika hatua ya robo fainali ni Market fc,Mitumba fc,Vijuso fc,New generation fc,Sido fc,Mifugo fc,Storaway fc na wachukuzi fc

Ratiba ya robo fainali 

17/8 alhamis Market fc vc Mitumba fc

18/8 ijumaa Vijuso fc vs New generation fc

19/8 jmosi Sido fc vs Mifugo fc

20/8 jpil Storaway fc vs wachukuzi fc


Post a Comment

 
Top