0
MPLA imeiongoza angola tokea ilipopata uhuru mwaka 1975
Image captionMPLA imeiongoza angola tokea ilipopata uhuru mwaka 1975
Tume ya uchaguzi nchini Angola imesema kwamba matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu uliofanyika siku ya Jumatano unaonyesha chama tawala cha MPLA kinaongoza.
Inasema kwamba MPLA imeshinda takriban robo tatu ya kura zote mpaka sasa, huku chama kikuu cha upinzani UNITA kikiwa na asilimia 25.
Waziri wa zamani wa ulinzi Joao Lourenco, anaonekana kuchukua nafasi ya Rais wa muda mrefu Jose Eduardo dos Santos.
Santos ameiongoza Angola kwa karibia miaka 40.

Post a Comment

 
Top