0



Karibu kwenye maonesho ya nane nane ngongo kutembelea mabanda ya Halmashauri ya wilaya ya Liwale
Katika mabanda ya halmashauri ya wilaya ya Liwale zinapatikana korosho,mafuta ya alizeti,asali mbichi nk


 Mkuu wa wilaya ya Liwale mhe. Sarah Chiwamba akiwa moja ya eneo la bustani katika banda la halmashauri ya wilaya ya Liwale

 Afisa kilimo,mkuu wa wilaya pamoja na mkurugenzi wa halmshauri ya wilaya ya Liwale, Justin Monko alisimama upande wa kulia wakiwa kwenye eneo la bustani la halmashauri ya wialaya ya Liwale kwenye maonesho ya nane nane ngongo Lindi

Post a Comment

 
Top