0
Taasisi yya Kilimo na Utafiti Naliendele Ipo katika Viwanja vya Nane Nane – Ngongo Manispaa ya Lindi wakitoa Program za Utafiti Kitaifa katika zao la Korosho, Mbegu za Mafuta, Muhogo na Jamii ya Viazi. Pia katika Tafiti nyingine za Kikanda wanatoa Mazao ya Nafaka, Mikunde, Udongo, na Matumizi ya Mbolea na Uchumi Jamii.
Ewe Mkazi wa Lindi na Mtwara Tembelea Banda lao lililopo katika Viwanja hivyo kujifunza mambo mengi mazuri kutoka kwa Ili uongeze Ufahamu ambao utakuwa wenye tija katika Kilimo na Biashara yako.Mwananchi akipatiwa maelekezo kuhusiana na Miche Bora ya Mikorosho katika Banda la Naliendele lililoko ndani ya Viwanja vya Nane Nane – Ngongo Manispaa ya Lindi.Bidhaa Bora kabisa za Mafuta na Korosho Kutoka Banda la Naliendele lililoko ndani ya Viwanja vya Nane Nane – Ngongo Manispaa ya Lindi.Pia Miche Bora ya Viazi Lishe inapatikana katika Banda hilo.Pata maelekezo ya Kitaalam ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kutoka kwa Wataalam wabobezi katika Banda la Naliendele lililoko ndani ya Viwanja vya Nane Nane – Ngongo Manispaa ya Lindi.

Post a Comment

 
Top