0

 Wanachama  wa  chama  cha  ushirika cha  UMOJA LIWALE mkoani  Lindi  wakitoa  maelezo  kwa 
Waziri wa nchi ofisi ya Rais,tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI  GeorgeSimbachawene namna  ya  uzalishaji wa  mafuta  ya Alizeti  viwanja  vya maonesho ya wakulima ngongo
 Waziri wa nchi ofisi ya Rais,tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI  GeorgeSimbachawene akiangalia MTAMBO wa kuponda Mihogo Mibichi  kwenye Banda la wakulima wilaya ya  Liwale mkoani  Lindi viwanja  vya maonesho ya wakulima ngongo
aziri wa nchi ofisi ya Rais,tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI  GeorgeSimbachawene akiangalia  ASALI Inayozalishwa  na wakulima wilaya ya  Liwale mkoani  Lindiviwanja  vya maonesho ya wakulima ngongo
 aziri wa nchi ofisi ya Rais,tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI  GeorgeSimbachawene akiangalia mchele unaozalishwa  na wakulima wilaya ya  Liwale mkoani  Lind

 Waziri wa nchi ofisi ya Rais,tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI  GeorgeSimbachawene akiangalia mchele unaozalishwa  na wakulima wilaya ya Liwale mkoani  Lindi 
viwanja  vya maonesho ya wakulima ngongo

Post a Comment

 
Top