0

kikosi cha timu ya sekondari Liwale High School

Full time Liwale high school leo julai 21 katika mchezo wa kirafiki imeibuka na ushidi wa goli 3-1 dhidi Likongowele fc mchezo uliopigwa uwanja wa sekondari ya Liwale.

Magoli ya liwale High school yamefungwa na Rabin Issa,Rafii Kandile,na Abuu Libena na goli pekee la kufutia machozo kwa timu ya  Likongowele fc  limefungwa na Vituko Ngambe.

Wiki iliyopita timu ya Liwale Day ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Mitumba fc ambapo Liwale day iliambulia kipigo cha goli 4-2.

Timu ya Likongowele fc ikiwa inajiandaa na michuano ya ligi inayotarajia kutimua vumbi wikiendi hii.

Post a Comment

 
Top