Waandishi wa Habari mbali mbali kutoka Vituo mbalimbali vya Habari wakifuatilia mafunzo ya Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania yanayotolewa na Shirika la International Republican Institute (IRI) yanayofanyika Leo Julai 29, 2017 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi.Mtaalamu (Consultant) Emiliana Muchu kutoka Shirika la International Republican Institute (IRI) akitoa maelekezo kwa Waandishi wa Habari katika mafunzo ya Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania yanayotolewa na Shirika hilo la IRI yanayofanyika Leo Julai 29, 2017 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi.Mtaalamu (Consultant) Emiliana Muchu kutoka Shirika la International Republican Institute (IRI) akitoa maelekezo kwa Waandishi wa Habari katika mafunzo ya Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania yanayotolewa na Shirika hilo la IRI yanayofanyika Leo Julai 29, 2017 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi.Msimamizi wa Radio za kijamii Mkoa wa Lindi Ndg Kitentya Luth kutoka Tanzania Youth Vision Association (TYUA) akitoa maelekezo kwa Waandishi wa Habari katika mafunzo ya Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania yanayotolewa na Shirika hilo la IRI yanayofanyika Leo Julai 29, 2017 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi.Bahati Samweli Mwandishi wa Habari kutoka Radio Free Afrika akichukua Dondookatika mafunzo ya Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania yanayotolewa na Shirika hilo la IRI yanayofanyika Leo Julai 29, 2017 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi.Asha Mpatila Mwandishi wa Habari kutoka kituo cha Redio cha Lindi FM akiwa na Mgeni Mwalikwa Ndg Emanuel Motto Wakijadili jambo wakati wa mafunzo ya Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania yanayotolewa na Shirika hilo la IRI yanayofanyika Leo Julai 29, 2017 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi.Alice Chilambo Mwandishi wa Habari kutoka kituo cha Redio cha Mashujaa FM akiwa na Mwandishi Mwenzake Ndg Waleti Mwaipopo Wakichukua dondoo wakati wa mafunzo ya Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania yanayotolewa na Shirika hilo la IRI yanayofanyika Leo Julai 29, 2017 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment