0
Daraja lililotundikwa lenye mita 500 linalokisiwa kuwa refu zaidi duniani limefunguliwa katika mji wa Zermatt nchini Uswizi.Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionDaraja lililotundikwa lenye mita 500 linalokisiwa kuwa refu zaidi duniani limefunguliwa katika mji wa Zermatt nchini Uswizi.
Daraja lililotundikwa lenye mita 500 linalokisiwa kuwa refu zaidi duniani limefunguliwa katika mji wa Zermatt nchini Uswizi.
Daraja hilo lenye urefu wa mita 494 kwa jina Europabrucke limetundikwa mita 85 juu .
Daraja hilo lenye urefu wa mita 494 kwa jina Europabrucke limetundikwa mita 85 juu .Haki miliki ya pichaEPA
Image captionDaraja hilo lenye urefu wa mita 494 kwa jina Europabrucke limetundikwa mita 85 juu .
Daraja hilo linachukua mahala pa daraja jingine ambalo lilikuwa limeharibiwa na mwamba.Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionDaraja hilo linachukua mahala pa daraja jingine ambalo lilikuwa limeharibiwa na mwamba.
Bodi za utalii ya Zermatt inasema kuwa ndio daraja refu zaidi duniani ,ijapokuwa daraja la mita 405 mjini Reutte Austria limetundikwa mita 110 juu kutoka ardhini.
Daraja hilo linachukua mahala pa daraja jingine ambalo lilikuwa limeharibiwa na mwamba.
Daraja hilo lipo kati ya Zermatt na Grachen kusini mwa Switzerland.Haki miliki ya pichaEPA
Image captionDaraja hilo lipo kati ya Zermatt na Grachen kusini mwa Switzerland.
Daraja hilo jipya ambalo ambalo lina uzito wa tani nane limewekwa kifaa cha ambacho linalizuia kuyumbayumba ,kulingana na bodi ya watalii ya Zermatt.
Daraja hilo lipo kati ya Zermatt na Grachen kusini mwa Switzerland.

Post a Comment

 
Top