0


Ni mikwaju ya penaiti iliyopigwa juni 27 baada ya dakika 90 kumalizika na kutoka sare ya goli 1-1 ndipo ikaamuliwa mikwaju ya penaiti hivyo mifugo fc iliondolewa kwa mikwaju ya 4 - 5,

Mchezo huo ulikuwa wa nusu fainali katika ligi ya Three Boys Cup-Liwale na mchezo ulipigwa katika uwanja wa wilaya ya Liwale mkoani Lindi.

Timu zilizoingia fainali ni VIJUSO FC Vs STORAWAY FC mchezo utakaotimua vumbi siku ya ijumaa wiki hii katika uwanja wa wilaya ya Liwale.

Post a Comment

 
Top