0
 
Hii si mara ya kwanza al shabab wanavamia kambi za jeshi la Kenya
Hii si mara ya kwanza al shabab wanavamia kambi za jeshi la Kenya
Ripoti kutoka kusini mwa somali zinazema kambi ya wanajeshi wa Kenya imevamiwa viungani mwa mji wa Kulbiyow nchini Somalia.
Milipuko kadhaa iliripotiwa kusikika kutoka eneo hilo.
Inaarifiwa kuwa vikosi vya Kenya vimejibu vikali uvamizi huo.
Mapema mwaka huu, maafisa kadhaa wa Kenya waliuwawa na wanamgambo wa Al shabaab waliovamia kambi yao.
Somalia

Post a Comment

 
Top