Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitabasamu
wakati Wafanyakazi wa Taasisi mbalimbali za Umma na Binafsi wakiwa
katika maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambayo nchini
yamefanyika Kitaifa katika Chuo cha Ushirika, Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga
mkono wakati Wafanyakazi wa Taasisi mbalimbali za Umma na Binafsi wakiwa
wanapita mbele yake kwa njia ya maandamano ya Siku ya Wafanyakazi
Duniani ambayo nchini yamefanyika Kitaifa katika Chuo cha Ushirika,
Moshi Mkoani Kilimanjaro. Wengine katika picha ni Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu sera Bunge, Kazi, Vijana na wenye
ulemavu, Jenista Mhagama,Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais na Utawala bora
Angela Kairuki pamoja na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi
Tanzania (TUCTA) Tumaini Nyamhokya.
Sehemu
ya Wafanyakazi waliofika kwenye Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani katika
Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
ameshikana mikono wakati wa wimbo wa Mshikamano daima pamoja na Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge
Job Ndugai, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu sera Bunge, Kazi,
Vijana na wenye ulemavu, Jenista Mhagama,Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
na Utawala bora Angela Kairuki, Rais wa Shirikisho la Vyama vya vya
Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Tumaini Nyamhokya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Said Meck Saidik.

amenyanyua juu mikono mara baada ya kuimba wimbo wa Mshikamano Daima
pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu sera Bunge, Kazi, Vijana na wenye ulemavu, Jenista Mhagama,Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais na Utawala bora Angela Kairuki Rais wa Shirikisho
la Vyama vya vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Tumaini Nyamhokya pamoja
na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Saidik.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
mamia ya wafanyakazi katika kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani
zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini
Moshi mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Saidi M. Sadiki akitoa salamu za Mkoa kwenye Sikukuu hiyo ya Wafanyakazi Duniani.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge, Kazi, Vijana na wenye
ulemavu, Jenista Mhagama akitoa salamu katika Sikukuu ya Wafanyakazi
mkoani Kilimanjaro.
Rais
wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Tumaini
Nyamhokya akizungumza katika Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani
zilizofanyika Kitaifa mkoani Kilimanjaro.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Mh.Mussa Hassan Zungu akizungumza
Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi
Makamu wa Rais,Mh,Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na wakazi wawili wenye ulemavu mara baada ya kumaliza
kuhutubia katika kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika
Kitaifa katika Uwanja wa Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani
Kilimanjaro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
mkono wafanyakazi na wadau mbalimbali waliohudhuria katika kilele cha
Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa

akiwashukuru Wafanyakazi mbalimbali wakati akiondoka katika uwanja wa
Ushirika mjini Moshi mara baada ya kuhutubia katika kilele cha Sikukuu
ya Wafanyakazi Duniani.
PICHA NA IKULU
RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI KILIMANJARO

Post a Comment