Mkuu wa wilaya ya Liwale,mhe. Sarah Chiwamba akipokea mwenge wa uhuru leo
Leo ikiwa mei 25,Mwenge wa uhuru 2017 umefika katika wilaya ya Liwale mkoani Lindi ukiongozwa na ndugu Amour Hamad Amour kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa amezindua miradi mablimbali ya maendeleo wilayani hapa

Leo ikiwa mei 25,Mwenge wa uhuru 2017 umefika katika wilaya ya Liwale mkoani Lindi ukiongozwa na ndugu Amour Hamad Amour kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa
Leo ikiwa mei 25,Mwenge wa uhuru 2017 umefika katika wilaya ya Liwale mkoani Lindi ukiongozwa na ndugu Amour Hamad Amour kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa amezindua miradi mablimbali ya maendeleo wilayani hapa ikiwemo kiwanda cha kukamua mafuta ya alizeti cha chama cha ushirika umoja
Leo ikiwa mei 25,Mwenge wa uhuru 2017 umefika katika wilaya ya Liwale mkoani Lindi ukiongozwa na ndugu Amour Hamad Amour kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa amezindua miradi mablimbali ya maendeleo wilayani hapa ikiwemo kiwanda cha kukamua mafuta ya alizeti cha chama cha ushirika umoja.
Chama cha msingi cha ushirika cha Umoja wilayani Liwale kimeanza kutekeleza mpango wa serikali wa kuifanya nchi yenye uchumi wa viwanda. Nibaada ya kuanza ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza mafuta ya alizeti. Akitoa taarifa za ujenzi huo kwa kiongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa. Wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi uliofanyika leo mjini Liwale.
Mwenyekiti wa chama hicho chenye wanachama 900, Hassan Mpako alisema hatua hiyo inalengo la kukifanya chama hicho kuwa endelevu na kumuunga mkono Rais Dkt John Magufuli katika azima yake ya kuifanya nchi kufikia uchumi wa Viwanda. Alizitaja baadhi ya faida zitakazopatikana baada ya kiwanda hicho ambacho ujenzi wake utagharimu shilingi 68,856,000/= ni kuimarisha na kuongeza masoko ya mazao ya wakulima, kuongeza ajira rasimi na zisizorasimi, kukuza teknolojia katika halmashauri ya wilaya ya Liwale.
Faida nyingine ni kurahisisha upatikanaji wa bidhaa za mazao na kukuza pato la serikali kupitia kodi, ushuru na leseni.“Ujenzi wa kiwanda hiki umegharimu shilingi 68,856,000.00 ambapo thamani ya mashine pekee ni shilingi 21,856,000/= na ujenzi wa jengo shilingi 47,000,000/= ” Kiwanda kina mashine mbili za kisasa zenye uwezo wa kukamua na kuchuja mbegu za alizeti zenye uzito wa tani nne kwa siku, ambazo ni sawa na ujazo wa lita 1,335 za mafuta,” alisema Mpako.
Nae kiongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru wa kitaifa kwa mwaka 2017, Amour Hamad Amour aliwaasa wananchi wilayani humo kupanua na kuongeza mashamba ya zao wanunue mafuta yanayotengenezwa na kiwanda hicho ili badala ya mafuta yanayotengenezwa nje.
Huku akiwakumbusha kuwa kufanya hivyo kutaongeza mapato yao na halmashauri ya wilaya na serikali kuu kutokana na kodi na ushuru.
Post a Comment