Diwani
wa Kata ya Buzuruga Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza, Richard Machema
(kushoto), akishiriki zoezi la usafi pamoja na Wananzengo wengine wa
Kata hiyo katika Kituo cha Afya Buzuruga hii leo, ikiwa ni sehemu ya
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi, 2017.
BMGHabari
Wananzengo
wa Kata ya Buzuruga wakiwa pamoja na diwani wao, Richard Machema
(mwenye kofia), katika zoezi la usafi kwenye Kituo cha Afya Buzuruga hii
leo, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei
Mosi, 2017.
Zoezi
la usafi la kuondoa vichaka na taka katika mazingira ya Kituo cha Afya
Buzuruga limeelezwa kusaidia kuteketeza maficho ya masalia ya mbu pamoja
na baadhi ya vijana wasio na maadili mema waliokuwa na desturi ya
kujificha kwenye vichaka hivyo kwa sababu mbalimbali ikiwemo uvutaji wa
bangi.
Uteketezaji
wa taka hatarishi ikiwemo chupa umelalamikiwa na wakazi wa Kata ya
Buzuruga na kuomba suala hilo kufanyiwa kazi ili kuwa na uteketezaji
taka usio hatarishi katika jamii
Usafi ukiendelea
Usafi ukiendelea
Mwananzengo wakiongea na Lake Fm kuhusiana na usafi huo
Post a Comment