Rais Donald Trump
Wizara ya usalama wa ndani ya nchi, huko Marekani, ina mipango ya kuwaajiri maelfu ya maafisa wa ziada.
Watakaohusika
kutimiliza hatua kali zilizowekwa na utawala wa Donald Trump,
kukabiliana na wahamiaji haramu. Maelekezo hayo yametolewa baada ya
utawala wa Trump kusema kuwa, wahamiaji wasio na stakabadhi maalum ya
kuishi Marekani na walio na rekodi ya uhalifu, wanahatarisha maisha ya
Waamerika au wale ambao wamewahi hujumu mfumo wowote nchini Marekani.
Post a Comment