Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA,
Freeman Mbowe asema hataripoti Kituo Kikuu cha Polisi, Dar kwakuwa Mkuu wa Mkoa
hana mamlaka ya kumuita.
Kiongozi huyo wa Kambi Rasmi ya
Upinzani Bungeni asema RC Makonda amemchafua yeye, familia yake na kambi ya
Upinzani kwa ujumla.
Aidha Mwenyekiti Mbowe ameongeza
kuwa yuko tayari kutoa ushirikiano muda wowote endapo utaratibu utafuatwa
kuhusu suala hilo.
Post a Comment