Rais wa Jamhuri ya Congo Joseph Kabila
Video hiyo iliyozagaa mwishoni mwa wiki inaonekana kuwa ilichukuliwa katika mji wa Kasai jimbo la kati nchini humo,ikionyesha wanajeshi wakikabiliana na wapiganaji.
Marekani imelaumu kuhusiana na video hiyo na kusema ni ukiukaji wa haki za binadamu.
Mkuu wa idara ya haki za binadamu ya umoja wa mataifa Zeid Ra'ad al Hussein anasema serikali inapaswa kuangalia kile ambacho tuhuma dhidi ya ukiukaji wa haki za binadamu
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.