Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Lindi Godfrey Zambi
mara alipowasili katika uwanja wa ndege wa Nachingwea kwa ajili ya ziara
ya kikazi katika wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi kushoto ni mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Lindi Alli Mohamed Mtopa.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na mkurugenzi wa
Nachingwea (DED) Bakari Mohamedi Bakari katika kiwanja cha ndege cha
Nachingwea wakati wa mapokezi ya waziri mkuu wilayani hapo waziri mkuu
amefika kwa ziara ya kikazi katika wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi.
Waziri mkuu Kassim Majaliwa na mkewe Mery Majaliwa wakifurahia
ngoma ya kikosi cha JKT 843KJ kilichopo Nachingwea ambacho kilikuwepo
katika mapokezi ya Waziri Mkuu katika uwanja wa ndege wa Nachingwea.
Picha na Chris Mfinanga
Post a Comment