Ndg
Deo Mfugara akitoa Somo kwa Waandishi wa Habari na Bloggers wa Lindi na
Mtwara katika Sekta ya Gasi na Mafuta. Semina hiyo inaendelea kufanyika
katika Ukumbi wa Chamikumbi Lindi Mjini ambayo imefadhiliwa na Shirika
lisilo la Kiserikali la LANGO na OXFAM.
Blogger
wa Mtandao wa Lindiyetu.com akiwa sambamba na Ripota wa Pride Fm Lindi
pamoja na Mwandishi wa TBC Taifa Lindi wakifuatilia Mafunzo hayo
yanayoendelea katika Ukumbi wa Chamikumbi Manispaa ya Lindi kwa siku
Mbili.
Mtangazaji
wa Mashujaa FM (Kulia) Ripota wa Startv Lindi (Katikati) Na Blogger wa
Sauti ya Kusini (Kushoto) wakifuatilia Mafunzo ya mafuta na Gasi
yanayoendelea katika Ukumbi wa Chamikumbi Manispaa ya Lindi, Mafunzo
hayo yanafanyika kwa Siku Mbili.
Waandishi
wa Vituo mbalimbali wakifuatilia kwa Makini mafunzo ya Gasi na Mafuta
yanayoendelea kutolewa katika Ukumbi wa Chamikumbi Manispaa ya Lindi kwa
muda wa Siku mbili.
Deo
Mfugara Mkufunzi wa Semina hiyo akisisitiza Jambo wakati wa Semina kwa
waandishi wa Habari na Bloggers wa Mikoa ya Lindi na Mtwara inayofanyika
katika Ukumbi wa Chamikumbi Lindi kwa Siku mbili.
Rucy
Ogutu Ripota wa ITV Mtwara akiulizwa swali kwa mkufunzi katika Semina
ya Waandishi wa Habari na Bloggers wa Mikoa ya Lindi na Mtwara
inayofanyika Manispaa ya Lindi kwa Muda wa Siku mbili katika Ukumbi wa
chamikumbi.
Post a Comment