Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt John
Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mteule Mhe.
Kisare Makori akishuhudiwa na viongozi wapya wa CCM aliowateua hivi
karibuni. Kutoka kulia ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey
Polepole, Katibu NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Ngemela Eslom
Lubinga na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg. Rodrick Mpogolo
walipoenda kujitambulisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 20,
2016.
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa
Wilaya ya Ubungo Mteule Mhe. Kisare Makori (kushoto) pamoja na viongozi
wapya wa CCM aliowateua hivi karibuni. Kutoka kulia ni Katibu wa Itikadi
na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole, Katibu NEC Siasa na Uhusiano wa
Kimataifa Kanali Ngemela Eslom Lubinga na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara
Ndg. Rodrick Mpogolo walipoenda kujitambulisha Ikulu jijini Dar es
salaam leo Desemba 20, 2016.
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mteule Mhe. Kisare Makori (kushoto)
akibadilishana mawasiliano na na viongozi wapya wa CCM walioteuliwa hivi
karibuni. Kutoka kulia ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey
Polepole, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg. Rodrick Mpogolo na Katibu
NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Ngemela Eslom Lubinga
walipoenda kujitambulisha kwa Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe
Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 20, 2016. PICHA NA IKULU




Post a Comment