0


Mashindano ya mapinduzi Cup yameanza kutimua vumbi hiyo jana katika uwanja wa amani kwa kuzikutanisha Jang’ombe boys na Timu ya Taifa Jang’ombe zote kutoka mtaa mmoja wa Jang’ombe hapa Zanzibar

Mchezo huo uliorindima majira ya saa 2:30 za usiku Taifa Jang’ombe wamefanikuiwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wapinzani wao wajadi Jang’ombe Boys

Goli hilo lilofungwa na mshambuliaji mwenye makeke zaidi uwanjani Hassani Banda litawalazimu Taifa Jang’ombe kukaa kileleni  mwa kundi A lenye timu kama  Simba,URA,KVZ na Jang’mbe Boys hadi mchezo wa mwengine wa kundi hilo utakaopigwa tar 1-1-2017 utakapotoa majibu ya nani atashika usukani wa kundi hilo


Mapinduzi Cup yataendelea tena tarehe moja baada ya hii leo kuwa mapunziko ambapo ratiba kamili ya michezo hiyo hapo chini

KUNDI A :Simba, URA, KVZ, Taifa ya Jang’ombe na Jang’ombe Boys.
 KUNDI B :Yanga, Azam, Zimamoto na Jamhuri.
RATIBA MAPINDUZI CUP .
 30/12/2016 Taifa ya jang’ombe vs Jang’ombe boys saa 2:15 usiku.
 1/1/2017 KVZ VS URA Saa 10:00 alasiri, Simba vs Taifa ya Jang’ombe saa 2:15 usiku.
 2/1/2017 Azam vs Zimamoto saa 10:00 alasiri, Yanga vs Jamhuri saa 2:15 usiku.
 3/1/2017 Jang’ombe boys vs URA saa 10:00 alasiri, KVZ vs Simba saa 2:15 usiku.
 4/1/2017 Zimamoto vs Yanga saa 10:00 alasiri, Jamhuri vs Azam saa 2:15 usiku.
 5/1/2017 KVZ vs Jang’ombe boys saa 10:00 alasiri, Simba vs URA saa 2:15 usiku.
 6/1/2017 Taifa ya jang’ombe vs KVZ saa 2:15 usiku.
 7/1/2017 Jamhuri vs Zimamoto saa 10:00 alasiri, Yanga vs Azam saa 2:15 usiku.
 8/1/2017 Simba vs Jang’ombe boys saa 10:00 alasiri ,Taifa ya jang’ombe vs URA 2:15 usiku.
 10/1/2017 Saa 10: 00 nusu fainal ya kwanza ,Saa 2:15 nusu fainal ya pili.

13/1/2017 FAINAL saa 2: 15 usiku.


Post a Comment

 
Top