Kila siku sayansi na Teknolojia inavyozidi kukuwa ndivyo hata mitandao ya kijamii inavyozidi kuboreshwa.
Mtandao
wa picha wa Instagram umeingia tena kwenye Headline baada ya kufanya
maboresho katika mtandao huo ambapo awali mteja alikuwa anaweza ku acha
maoni katika Picha ya Mtu na bila kuwepo kwa uwezo wa ku like picha
hiyo.
Baada ya Maboresho hayo sasa hivi unauwezo wa ku acha maoni na mwenye picha hiyo anauwezo wa kujibu moja kwa moja kupitia comment yako na kuwa na uwezo wa ku like pia.
Baada ya Maboresho hayo sasa hivi unauwezo wa ku acha maoni na mwenye picha hiyo anauwezo wa kujibu moja kwa moja kupitia comment yako na kuwa na uwezo wa ku like pia.
Post a Comment