Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa ameendelea na ziara yake Arusha, leo December 6
2016 amekutana na watumishi wa hifadhi ya Ngorongro, wajumbe wa baraza
la wafugaji pamoja na wananchi wanaoishi ndani ya hifadhi wakati ziara
yake wilayani Ngorongoro.
Baada
ya kupokea taarifa za kutatanisha kuhusu kifaru anayefahamika kwa jina
la Johnaliyedaiwa kuondoshwa hifadhini hapo na kupelekwa katika eneo la
akiba la Gurmet, Waziri mkuu Kasimu Majaliwa aliwapa muda wa siku mbili
watumishi wa Mamlaka ya Ngorongoro kutoa maelezo mahali alipo.

Post a Comment