Kingine cha kufahamu ni kwamba sio tu Watanzania wanatambua uwepo wa hiyo miaka 55 ya Uhuru, club ya soka ya Uingereza Arsenal inayoongozwa na kocha Arsene Wenger imeonyesha kutambua siku hii muhimu kwa Tanzania kwa kupost Facebook picha yenye bendera ya Tanzania na kuandika ‘HAPPY INDEPENDENCE DAY TANZANIA‘

Post a Comment