Tatizo la mizani katika ghala kuu la chama cha msingi Umoja (UMOJA AMCOS) lilipo wilaya ya Liwale mkoani Lindi lilopelekea kuchelewesha kushusha mizigo ya korosho na kupakua mizigo sasa kero hilo imeisha baada ya chama hicho kukamisha kufunga mizani ya Digital ya kisasa.
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Umoja Amcos,Bwana Hassani Mpako amesema mizani hiyo ya kisasa itakuwa na uwezo wa kupima gari lenye tani 80 kwa wakati mmoja pia kufungwa kwa mizani hiyo itasaidia wanunuzi kuchukua mzigo yao kwa wakati.
Aliongeza kusema kuwa kwa sasa hakutakuwa na msululu wa magari ya kupakua na kupakia uliotokana na ukosefu wa mizani kubwa.
Ufungaji wa mizani ya kisasa ya Digital kwenye ghala kuu la chama cha msingi umoja lililopo wilaya ya Liwale mkoani Lindi
Mafundi wakifunga mizani ya kisasa ya Digital kwenye ghala kuu la chama cha msingi umoja lililopo wilaya ya Liwale mkoani Lindi
Sehemu inayofungwa mizani ya kisasa ya digital katika ghala kuu la chama cha msingi umoja wilayani Liwale
Mafundi wakifunga mizani ya kisasa ya Digital kwenye ghala kuu la chama cha msingi umoja lililopo wilaya ya Liwale mkoani Lindi
Mafundi wakifunga mizani ya kisasa ya Digital kwenye ghala kuu la chama cha msingi umoja lililopo wilaya ya Liwale mkoani Lindi
Mafundi wakifunga mizani ya kisasa ya Digital kwenye ghala kuu la chama cha msingi umoja lililopo wilaya ya Liwale mkoani Lindi
Mafundi wakifunga mizani ya kisasa ya Digital kwenye ghala kuu la chama cha msingi umoja lililopo wilaya ya Liwale mkoani Lindi
Mafundi wakifunga mizani ya kisasa ya Digital kwenye ghala kuu la chama cha msingi umoja lililopo wilaya ya Liwale mkoani Lindi
Mafundi wakifunga mizani ya kisasa ya Digital kwenye ghala kuu la chama cha msingi umoja lililopo wilaya ya Liwale mkoani Lindi
Muonekano wa mzigo ulipo kwenye ghala kuu la chama cha msingi umoja
magari yakisubiria kushusha mizigo ya korosho katika ghala kuu la chama cha msingi umoja

magari yakisubiria kushusha mizigo ya korosho katika ghala kuu la chama cha msingi umoja na magari yangine yakiwa yamepakia mizigo
Post a Comment